Ufafanuzi wa Kuwa na sauti katika Kiswahili

Kuwa na sauti

msemo

  • 1

    kuwa na uwezo au madaraka kuhusu jambo fulani.