Ufafanuzi msingi wa kuyu katika Kiswahili

: kuyu1kuyu2kuyu3

kuyu1

nomino

  • 1

    samaki mwenye rangi ya bizari anayefanana na ningu na anayepatikana kwenye mikondo ya maji mengi.

Matamshi

kuyu

/kuju/

Ufafanuzi msingi wa kuyu katika Kiswahili

: kuyu1kuyu2kuyu3

kuyu2

nomino

  • 1

    aina ya ndege wa jamii ya tetere na fumvu.

Matamshi

kuyu

/kuju/

Ufafanuzi msingi wa kuyu katika Kiswahili

: kuyu1kuyu2kuyu3

kuyu3

nomino

  • 1

    tunda la mkuyu linalofanana na tini.

Matamshi

kuyu

/kuju/