Ufafanuzi wa Kwa mtutu katika Kiswahili

Kwa mtutu

msemo

  • 1

    wa bunduki kwa kupigana kwa bunduki; kwa umwagaji damu; kwa vita.