Ufafanuzi wa kwakwa katika Kiswahili

kwakwa

nominoPlural makwakwa

  • 1

    tunda kubwa la mviringo linaloliwa, na linalofanana na bungo lakini lenye ganda gumu.

Matamshi

kwakwa

/kwakwa/