Ufafanuzi wa kwamua katika Kiswahili

kwamua

kitenzi elekezi

  • 1

    toa kitu mahali kilipokuwa kimekwama.

Matamshi

kwamua

/kwamuwa/