Ufafanuzi wa kwangua katika Kiswahili

kwangua, kwangura

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kwa kukwaruza.

    dodosa, kokonoa