Ufafanuzi wa kwanyua katika Kiswahili

kwanyua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kitu kwa kuvuta kwa nguvu kutoka mahali kilipojishikilia.

Matamshi

kwanyua

/kwa3uwa/