Ufafanuzi wa Kwaresima katika Kiswahili

Kwaresima

nominoPlural Kwaresima

Kidini
  • 1

    Kidini
    siku arubaini za mfungo wa Wakristo kabla ya sikukuu ya Pasaka.

Matamshi

Kwaresima

/kwarɛsima/