Ufafanuzi wa kwashakoo katika Kiswahili

kwashakoo

nomino

  • 1

    ugonjwa wa watoto unaosababishwa na ukosefu wa chakula, hasa protini, na unaowafanya kukonda na kuwa na matumbo makubwa.

    chirwa

Asili

Kng

Matamshi

kwashakoo

/kwaʃakɔ:/