Ufafanuzi wa kwata katika Kiswahili

kwata

nomino

  • 1

    mazoezi ya kuvinyosha viungo vya mwili na kuvizoeza.

    drili, taburu

Matamshi

kwata

/kwata/