Ufafanuzi wa kweche katika Kiswahili

kweche, kwache

nomino

  • 1

    ndege mwenye rangi nyekundu iliyochanganyika na nyeusi tumboni, kichwani au mgongoni.

    pasha