Ufafanuzi wa kwekwe katika Kiswahili

kwekwe

nominoPlural makwekwe

  • 1

    mmea unaoota mahali usipotakiwa k.v. shambani.

    gugu

Matamshi

kwekwe

/kwɛkwɛ/