Ufafanuzi wa kwesha katika Kiswahili

kwesha

kitenzi sielekezi

  • 1

    pumua kwa shida k.v. mgonjwa wa pumu au nimonia.

Matamshi

kwesha

/kwɛʃa/