Ufafanuzi msingi wa kwida katika Kiswahili

: kwida1kwida2kwida3

kwida1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    shika shati au gauni na kulikunja mpaka likabanana na mwili.

Matamshi

kwida

/kwida/

Ufafanuzi msingi wa kwida katika Kiswahili

: kwida1kwida2kwida3

kwida2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kaba mtu kwa nguvu ili atoe kitu fulani.

Matamshi

kwida

/kwida/

Ufafanuzi msingi wa kwida katika Kiswahili

: kwida1kwida2kwida3

kwida3

nominoPlural kwida

  • 1

    chungu mdogo.

Matamshi

kwida

/kwida/