Ufafanuzi wa labibu katika Kiswahili

labibu

kivumishi

kishairi
  • 1

    kishairi -enye busara au hekima.

  • 2

    kishairi

    hodari, -erevu

Asili

Kar

Matamshi

labibu

/labibu/