Ufafanuzi wa labua katika Kiswahili

labua

kitenzi elekezi

  • 1

    shinda kwa urahisi katika mchezo.

  • 2

    piga mtu bila ya yeye kujitetea.

Matamshi

labua

/labuwa/