Ufafanuzi msingi wa lahiki katika Kiswahili

: lahiki1lahiki2

lahiki1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kutana kwa mapokezi au maamkizi.

Asili

Kar

Matamshi

lahiki

/lahiki/

Ufafanuzi msingi wa lahiki katika Kiswahili

: lahiki1lahiki2

lahiki2

kielezi

  • 1

    jinsi moja.

    ‘Usipende kukaa na watu wasio lahiki yako’
    sawasawa, kifano, kufu

Asili

Kar

Matamshi

lahiki

/lahiki/