Ufafanuzi wa laika katika Kiswahili

laika

nomino

  • 1

    unywele laini unaoota kwenye sehemu za mwili k.v. miguuni, kifuani au mikononi.

Matamshi

laika

/lajika/