Ufafanuzi wa lainika katika Kiswahili

lainika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    pata hali isiyokwaruza au isiyo ngumu; kuwa teketeke au -ororo; kuwa laini.

    tabwirika, tebwereka, tepetepe, tepwetepwe

Matamshi

lainika

/lajinika/