Ufafanuzi msingi wa lala katika Kiswahili

: lala1lala2

lala1

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kuwa katika usingizi; potewa na fahamu kwa sababu ya kuingiwa na usingizi.

  ‘Lala kama pono’
  gunjama

 • 2

  weka mwili wote chini; jinyosha k.v. kitandani.

  yaa

Matamshi

lala

/lala/

Ufafanuzi msingi wa lala katika Kiswahili

: lala1lala2

lala2

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  fanya kitendo cha kujamii.

Matamshi

lala

/lala/