Ufafanuzi wa lalamika katika Kiswahili

lalamika

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~iwa

  • 1

    eleza kutokuridhika na jambo fulani.

Matamshi

lalamika

/lalamika/