Ufafanuzi wa lalamiko katika Kiswahili

lalamiko

nominoPlural malalamiko

  • 1

    kauli au tamko la kujitetea kwa kutoridhika na yaliyofanywa.

    nung’uniko, ulalamishi

Matamshi

lalamiko

/lalamikɔ/