Ufafanuzi wa lambo katika Kiswahili

lambo

nominoPlural malambo

  • 1

    boma la kuzuia maji yasienee.

  • 2

    eneo kubwa la ardhi lililochimbwa kuhifadhia maji, agh. ya mvua.

    ‘Maji ya lambo’

Matamshi

lambo

/lambɔ/