Ufafanuzi wa landa katika Kiswahili

landa

kitenzi elekezi~ana

  • 1

    fanana kwa umbo, sura au tabia na kitu au mtu fulani.

    shabihi

Matamshi

landa

/landa/