Ufafanuzi wa landana katika Kiswahili

landana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na sura zinazofanana.

    ‘Baba analandana na mwanawe’
    fanana, shabihiana, chukuana, lingana

Matamshi

landana

/landana/