Ufafanuzi wa lawama katika Kiswahili

lawama

nominoPlural lawama

  • 1

    maneno yatolewayo kuonyesha kutoridhishwa na maneno, matendo au tabia ya mtu.

    aili, jukumu, shutuma

Asili

Kar

Matamshi

lawama

/lawama/