Ufafanuzi msingi wa laza katika Kiswahili

: laza1laza2

laza1

kitenzi elekezi

 • 1

  ikiza
  and → lalisha

 • 2

  weka mgonjwa hospitalini kwa muda ili apate matibabu.

Matamshi

laza

/laza/

Ufafanuzi msingi wa laza katika Kiswahili

: laza1laza2

laza2

kitenzi elekezi

 • 1

  shinda katika mchezo.

  ‘Timu ya Pan imeilaza Simba mabao mawili kwa sifuri’

Matamshi

laza

/laza/