Ufafanuzi wa lazima katika Kiswahili

lazima

nomino

  • 1

    ukosekanaji wa hiari.

    ‘Kuna lazima gani ya wewe kusafiri kwa miguu?’
    sharti, faradhi

Asili

Kar

Matamshi

lazima

/lazima/