Ufafanuzi wa lazimu katika Kiswahili

lazimu

kitenzi sielekezi~ika, ~isha

  • 1

    -toweza kukosekana; kuwa ni wajibu.

    ‘Imenilazimu kuondoka leo’
    pasa, juzu

Asili

Kar

Matamshi

lazimu

/lazimu/