Ufafanuzi msingi wa leba katika Kiswahili

: leba1leba2

leba1

nominoPlural leba

  • 1

    idara ya serikali inayoshughulikia matatizo ya wafanyakazi.

Asili

Kng

Matamshi

leba

/lɛba/

Ufafanuzi msingi wa leba katika Kiswahili

: leba1leba2

leba2

nominoPlural leba

  • 1

    chumba cha kuzalia katika hospitali.

Asili

Kng

Matamshi

leba

/lɛba/