Ufafanuzi wa lebo katika Kiswahili

lebo

nominoPlural lebo

  • 1

    kipande cha karatasi au kitu kingine ambacho hupachikwa juu ya mzigo au bidhaa ili kuonyesha jina la kitu kilichofungwa, mwenye kumiliki kitu hicho na mahali kinapopelekwa.

Asili

Kng

Matamshi

lebo

/lɛbɔ/