Ufafanuzi msingi wa lehemu katika Kiswahili

: lehemu1lehemu2lehemu3

lehemu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    unganisha vitu vya madini agh. kwa kutumia risasi.

Asili

Kar

Matamshi

lehemu

/lɛhɛmu/

Ufafanuzi msingi wa lehemu katika Kiswahili

: lehemu1lehemu2lehemu3

lehemu2

nominoPlural lehemu

Asili

Kar

Matamshi

lehemu

/lɛhɛmu/

Ufafanuzi msingi wa lehemu katika Kiswahili

: lehemu1lehemu2lehemu3

lehemu3

nominoPlural lehemu

  • 1

    mgando wa mafuta ya kupikia.

Asili

Kar

Matamshi

lehemu

/lɛhɛmu/