Ufafanuzi wa leja katika Kiswahili

leja

nomino

  • 1

    daftari la kuweka kumbukumbu za hesabu ya fedha au vifaa.

Asili

Kng

Matamshi

leja

/lɛʄa/