Ufafanuzi wa leleja katika Kiswahili

leleja

kitenzi sielekezi

  • 1

    sema maneno mengi ambayo wakati mwingine hayana maana.

Matamshi

leleja

/lɛlɛʄa/