Ufafanuzi wa lemba katika Kiswahili

lemba

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    nyang’anya kwa hila.

    punja, hadaa

Matamshi

lemba

/lɛmba/