Ufafanuzi wa lemea katika Kiswahili

lemea

kitenzi elekezi

  • 1

    zidi uzito; zidi uwezo.

    shinda, chachia

Matamshi

lemea

/lɛmɛja/