Ufafanuzi msingi wa lengeta katika Kiswahili

: lengeta1lengeta2

lengeta1

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~wa, ~ewa

  • 1

    kata kitu kiwe sawasawa kabisa na kingine; punguza kandokando ili kitu kiwe na sura nzuri.

Matamshi

lengeta

/lɛngɛta/

Ufafanuzi msingi wa lengeta katika Kiswahili

: lengeta1lengeta2

lengeta2

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~wa, ~ewa

  • 1

    pandisha mzinga wa nyuki kwenye mti kwa kutumia kamba.

Matamshi

lengeta

/lɛngɛta/