Ufafanuzi wa lenzi katika Kiswahili

lenzi

nominoPlural lenzi

  • 1

    kipande cha kioo au vioo kama vile vya darubini au miwani ambavyo huvuta karibu, hukuza au kupunguza ukubwa wa vitu machoni.

Asili

Kng

Matamshi

lenzi

/lɛnzi/