Ufafanuzi wa leo katika Kiswahili

leo

nominoPlural leo

  • 1

    siku tuliyonayo; siku hii.

    ‘Leo ni leo , asemaye kesho ni mwongo’
    methali ‘Mla ni mla leo, mla jana kalani?’

Matamshi

leo

/lɛɔ/