Ufafanuzi wa lepe katika Kiswahili

lepe

nominoPlural lepe

  • 1

    usingizi wa kuibia; usingizi wa nusunusu; kungu la usingizi.

    ‘Lepe la usingizi’

Matamshi

lepe

/lɛpɛ/