Ufafanuzi wa leta katika Kiswahili

leta

kitenzi elekezi

  • 1

    wasilisha au fikisha kitu mahali alipo anayekihitaji au anayesema.

Matamshi

leta

/lɛta/