Ufafanuzi msingi wa lewa katika Kiswahili

: lewa1lewa2

lewa1

kitenzi sielekezi

 • 1

  tetereka fahamu kutokana na kunywa pombe, dawa, kuvuta hewa yenye sumu au kitu chochote kinachobadilisha akili.

 • 2

  kosa kujimudu kwa sababu ya kusukwasukwa kwa chombo baharini.

Matamshi

lewa

/lɛwa/

Ufafanuzi msingi wa lewa katika Kiswahili

: lewa1lewa2

lewa2

kitenzi sielekezi

  Matamshi

  lewa

  /lɛwa/