Ufafanuzi wa lewesha katika Kiswahili

lewesha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu alewe.

    ‘Pombe inalewesha’

Matamshi

lewesha

/lɛwɛ∫a/