Ufafanuzi wa lia katika Kiswahili

lia

kitenzi sielekezi

  • 1

    tokwa na machozi pamoja na sauti, hasa mtu akifikwa na huzuni au maumivu.

  • 2

    toa sauti.

    ‘Bunduki zinalia’

Matamshi

lia

/lija/