Ufafanuzi wa lihamu katika Kiswahili

lihamu

nomino

  • 1

    mchanganyiko wa madini kama risasi unaotumika kuunganishia vitu vya madini.

Asili

Kar

Matamshi

lihamu

/lihamu/