Ufafanuzi wa lijamu katika Kiswahili

lijamu

nomino

  • 1

    kipande cha chuma kinachopitishwa katikati ya midomo ya mnyama k.v. farasi ili kufungia hatamu.

Asili

Kar

Matamshi

lijamu

/liʄamu/