Ufafanuzi wa likiza katika Kiswahili

likiza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu aache kufanya jambo.

    ‘Likiza mtoto kunyonya’
    achisha

Matamshi

likiza

/likiza/