Ufafanuzi wa likizo katika Kiswahili

likizo

nomino

  • 1

    siku za kupumzika baada ya kufanya kazi kwa muda.

    livu

Matamshi

likizo

/likizÉ”/