Ufafanuzi wa lilamu katika Kiswahili

lilamu

nomino

  • 1

    mahali dalali anaponadia vitu.

    mnadani

Matamshi

lilamu

/lilamu/