Ufafanuzi wa limau katika Kiswahili

limau

nomino

  • 1

    tunda jamii ya chungwa lenye maji chachu ambayo hutumika kuwa ni kiungo cha chakula au kinywaji.

Asili

Khi / Kar

Matamshi

limau

/limawu/